Chaplain’s Pledge:

 

Just as the United African University of Tanzania pledges to give you the best education, from international experts in their fields, the Chaplain’s office will also pledge that:

All students who participate fully in all the university-sanctioned, faith-based activities will receive the true Gospel message that was handed down to the saints once and for all. Therefore, you can be confident that, both day as well as boarding, students will become well-rounded men and women of faith with character and integrity in all their future dealings. If the students faithfully follow the guidance and teaching from the chaplain’s office in the matters mentioned below then they will be protected by an understanding of God’s Holy Infallible Word, from the many charlatans, false teachers, and heresies that abound in today’s society.

Therefore, we ask from the students that, they would commit to the university’s faith offerings through the weekday morning devotions (Mon. – Fri. 7:45 am to 8:00 am), the weekly chapel services (every Wednesday through the academic year from 11:00 am to 12:00 pm), and the University Campus Church (Every Sunday 9:00 am – 10:00 am). As the Chaplain of the university, I can guarantee that at these times, and in these programs, the students will hear the Word of God correctly preached.

 

Yours Faithfully,

 

Rev. D. McIsaac.

Chaplain UAUT.

Senior Pastor, University Campus ChurchAhadi ya Chaplain:

 

Kama vile Chuo Kikuu cha Umoja wa Africa ndani ya Tanzania kimeahidi kukupa elimu bora, kutoka kwa wataalam wa kimataifa katika nyanja zao, ofisi ya Mchungaji kiongozi pia inaahidi kwamba:

Wanafunzi wote ambao wanashiriki kikamilifu katika shughuli zote zilizoidhinishwa na chuo, zenye msingi wa imani watapata ujumbe wa kweli wa Injili ambao ulikabidhiwa kwa watakatifu mara moja tu. Kwa hivyo, unaweza kuwa na hakika kwamba, wanafunzi wote waishio ndani na nje ya chuo, watakuwa wenye imani na wenye tabia nzuri na uadilifu katika shughuli zao zote za baadaye. Ikiwa wanafunzi watafuata kwa uaminifu mwongozo na mafundisho kutoka kwa ofisi ya mchungaji kiongozi katika mambo yaliyotajwa hapo chini, watalindwa na uelewa wa Neno Takatifu, kutoka kwa walaghai, waalimu wa uwongo, na uzushi ulioenea katika jamii ya leo.

Kwa hivyo, tunawaomba wanafunzi, washiriki vizuri tafakari ya Neno kwa sadaka ya imani na maombi kila asubuhi (Jumatatu – Ijumaa kuanzia saa 1:45 hadi 2:00 asubuhi), ibada za kila wiki (kila Jumatano wakati wa masomo kutoka 5:00 asubuhi hadi 6:00 mchana), na kuhudhuria Kanisa la Chuo Kikuu (Kila Jumapili 3:00 asubuhi - 4:00 asubuhi). Kama mchungaji kiongozi, ninaweza kuthibitisha kwamba kwa nyakati hizi, na katika programu hizi, wanafunzi watasikia Neno la Mungu linahubiriwa kwa usahihi.

 

Wako Mwaminifu,

 

Mchungaji D. McIsaac.

Mchungaji UAUT.

Mchungaji Kiongozi, Kanisa la Chuo Kikuu